hamisi kawina @richandathebarber

FroM Dar.Es.SalaaM,MagOmEni TaNzaniA! 💈C.E.O Richanda barbershop 💈Keep right your head 💈Cell+255714883732

hamisi kawina photos and videos

20 hours ago

Silver Fox Kama Barabuu Au Wandiba.. Naitwa Boss Na Nna Ball Ka Babangida!! #Fresh #SupportedBy @therealfidq #SuperDaddy #DaddyYankee #DaddyYo #GoodNight 🌙

7813
2 days ago

Free Life!! #SuperDaddy #DaddyYankee #DaddyYo

510
3 days ago

Tabasam Zaidi Ya Wafungua Mlango Wa Five Star Hotel!! #SuperDaddy #DaddyYankee #DaddyYo #UsikuMwemaWadau

703
5 days ago

AKUPIGAYE Ngumi Ya JICHO.. Nawe Mpige Ya SIKIO, Akikuuliza Unaonaje? Nawe Muulize Unajisikiaje? #SupportedByFidQ #FidQ Com #SuperDaddy #DaddyYankee #DaddyYo

1051
5 days ago

My Nigger!! #HustlerGang 🔫 MnyamaMkali #kingCassidy 👑 #BirthDayBoy 🎉 #Loading

390
2 weeks ago

Kuwa Na Rafiki Asiye Na Msaada.. Ni Sawa Na Kuwa Na Adui Asiye Kudhuru, Wote Hawana Faida!! #BlueMoneyDay #SuperDaddy #DaddyYankee #DaddyYo

776
2 weeks ago

Fid Fulu Sijui Ni Artist Wa Wapi.. @therealfidq Dogo Kakuharibia Jina Huku!! Halafu Anajua Kuzuga Hatari #king 👑Cassidy #HipHopFamily #BongoHipHop #HomeOlojia

664
753
2 weeks ago

Namshukuru MUNGU kwa Hii Familia Yangu.. Inayonifanya DUNIA Naiona Tamu, Na Huu Ndo Upendo Ninaoupata kwao {RealKISS}.. Kwani Hisia Zao Ndo Rafiki Yangu. Peace To My SON.. Peace to My DAUGHTER.. Peace To the All My Family, Hata Bila Hela Tukiwa Na Love, Bado Tupo Pamoja!! #HappySunday #SuperDaddy #DaddyYankee #DaddyYo

580
2 weeks ago

Hata Siye Tulikutana Baada Ya Kila Mmoja Wetu Kutendwa Ktk Mahusiano Yake Ya Nyuma... Na Kila Mmoja Aliapa Kutopenda Tena Kwa Yaliyomkuta, Tukapeana MOYO Na Kuamua Kuachana Na Past Na Tukomae Na Future Coz Sote Was MAJERUHI By That Time, Kwa Kuwa Tulikuwa Waoga Ilituchukua Almost One Year For Each Other Kufunguka Na Kuwa Free Kwa Mwenzie, Like Kum-Trust Na At The End Kupeana Upya Mioyo Yetu. Tukawa Wawazi Kila Jambo Tuka Share Na Kila Mmoja Akaijua Furaha Ya Mwenzi Wake Iko Wapi Coz Mapenzi Ni Furaha Ya Moyo!! So Ukitendwa Don't Lose Hope My Friend.. Jipange Upya Kwani MUNGU Bado Ana Mipango Mikubwa Sana Na Wewe Na Hajakuumba Ili Ujute because Of Somebody Fool, Kwani Mwanamke Au Mwanaume Hayuko Peke Yake Right? Usiji Stress For No Reason. Muda Ndo Huu,Piga Moyo Konde Coz Moyo Una Sifa Ya Kupenda.. So Mpige Chini Na U-Move On With New Life.. To Start Upya Si Ujinga, Ujinga Ni Kung'ang'ana As If Huyo Ni Baba Au Mama'ako!! Sumu Ya Mapenzi Ni Maudhi Na Karaha Za Kila Siku, Wenzio Tunanenepa Weye Unakonda!! Muwe Na Jumamosi Njema!! #SuperDaddy #DaddyYankee #DaddyYo #mamakyler 😘

717
2 weeks ago

#KylerWangu #BirthdayQueen 👑❤🎉🎂🎁 #Loading

500
2 weeks ago

#BirthdayQueen 👑❤🎉🎂🎁 #RohoYangu #CuteKyler ®😍

370
2 weeks ago

#Kyler #BirthdayQueen 👑❤🎉🎂🎁 #MweziWakoHuu #Loading

330
2 weeks ago

Una Kila Sababu Ya KUTABASAM Coz Am Here For You!! #BirthdayQueen 👑❤🎉🎂🎁

370
2 weeks ago

BirthDay Loading.... #MyCuteKyler #DaddyLovesYou ❤️

340
2 weeks ago

Loading... #BirthdayQueen 👑❤🎉🎂🎁 #CuteKyler ®😍 #SuperDaddy #DaddyYankee #DaddyYo

510
2 weeks ago

Boya Boya Stay Back!! @_didiy_ #Khan !! #MigoHood #KitaaOlojia

772
2 weeks ago

With My Son!! #MuhuniWangu #RichandaJr

762
2 weeks ago

Akili Ni KARAMA Toka kwa MUNGU... So Tuwapeleke Watoto Shule Ili Wakapate MAARIFA!! #EducationIsTheKeyOfLife #SuperDaddy #DaddyYankee #DaddyYo

731
2 weeks ago

Wanaume Huwa Tunatabia Ya Kuwatenda WANAWAKE Wanao Tupenda... Lakini Wanawake Wao Huwa Na Tabia Ya Kuwapenda Walio WATENDA!! Jibu Yes Kama Ndiyo Au No Kama Hapana!! #Tafakari #YoMamaKyler #SuperDaddy ❤️ #DaddyYankee #DaddyYo #GudNite

641
3 weeks ago

We Are Invited {V.i.p} New Maisha Club, Time Hii Kinawaka!! #DjOmmyCrazyBirthdayParty Friends.. Tusomane Pande Hizo Kwa Atakaye Kuwepo!!

390
3 weeks ago

MWANAMKE Anahitaji Vitu Vitatu Tu Ili Akupende... {1}Love {2}Care {3}Respect! KANUNI Yake Inaitwa (L+C+R ) Hapa Nazungumzia KUMPENDA,KUMJALI Na KUMHESHIMU!! Uki Deal Vizuri Na Hiyo Kanuni Hapo Juu... Trust Me PESA Haina Nafasi, Hakuna MWANAMKE Anayependa PESA Tu, Na Ukiona Unadangiwa Basi Maybe Uwe Umeiwacha Hiyo KANUNI Na Hali Hiyo Itapelekea Akuone Kama MCHATI Tu Na Utadangiwa Mpaka HUFURAHI!! #Focus #SuperDaddy #DaddyYankee #DaddyYo

12830
3 weeks ago

Cassidy Clever With His Mother!! #SuperMummy #MummysBoy ❤️ 💙 MummyYo

662
3 weeks ago

Familia Yenye Afya Ya UPENDO... That's Why Tunafurahi PAMOJA Na Kama Ikitokea KULIA Pia Tunalia PAMOJA!! #SuperDaddy ❤️ #DaddyYankee #DaddyYo

10315
5 weeks ago

Naikubali Chuki Halisi, Kuliko Upendo Bandia!! #SuperDaddy #DaddyYankee #DaddyUo

822
last month

Happy Fathers Day!! #SuperDaddy #DaddyYankee #DaddyYo

733
last month

Happy Sunday!! #ThugLove ❤️ #GangstaWife ❤️ #ThugLifeStyle #SuperDaddy #DaddyYankee #DaddyYo

801
last month

Nadhani Hawa Jamaa Hapo Pichani Ndo Muhimu Sana Kwangu Kwa Sasa.. Mungu Awalinde Na Husda Za Dunia Za Wale Wenye Roho Za Kukunja Inshaallah!! #SuperDaddy #DaddyYankee #DaddyYo

612
last month

Mkubwa Na Mwanae!! #SuperDaddy #DaddyYankee #DaddyYo

743
last month

NAFSI Mbili... Ndani Ya ROHO Moja!! #superdaddy ❤️ #DaddyYankee #DaddyYo

9113
last month

Street Code Killer!! #kingCassidy 👑 #CassidyClever #CleverTouch

503
Load More ↓