Abdul-hakeem @its_your_boy_abdulhakim

Abdulhakim Abdalla F.b☞Abdulhakim abdalla da fashionkiller Twitter☞@Abdulhakim254 Like for Like

Abdul-hakeem photos and videos

10 hours ago

Ukimchukia Mtu Haimaanishi Kwamba MUNGU Hatoendelea Kum’bariki, Maana Baraka Za Mungu Haziendeshwi Na Chuki Zako. Blessed weekend you'll

130
2 days ago

Kukata Tamaa Kwenye Maisha Yako ili Hali Huku Bado Unaendelea Kuishi Duniani Ni Matumizi Mabaya Ya Pumzi.

230
4 days ago

Pesa ndio nguvu za kiume, Ndevu ni ujinga wako🤣 #KilaHatuaDua 🙏 #KaziKasi

240
5 days ago

Bad manners 🔥🔥🔥 @h_arttheband x @victoriakimani moto sana Feeling ya home 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

270
6 days ago

Kuhusu kufanikiwa kwako Mungu ndiye anajua hatakama binadamu wataleta vikwazo vyao hawawezi pangua mipango uliyopangiwa na Mungu. #KilaHatuaDua 🙏

270
2 weeks ago

Ni bora kwenye maisha uangalie nyuma na useme, siamini nilifanya hili, kuliko uangalie nyuma na useme natamani ningefanya lile. May you'll have a great week ahead

220
3 weeks ago

Kuna watu wana imagine sana akiona picha tu anaeza kwambia huyu ana maringo, huyu ana roho mbaya... ila kiukweli huwezi kumjua mtu kwa ku imagine usimuongeleee mtu.

290
3 weeks ago

Ukiwa huna hela na ukatoa mawazo kwenye kikao cha familia wanaona kama ni mbinu ya kuwaibia pesa.. #HujaonaKituBado

280
3 weeks ago

Ka Hauna Mpango Ama form, Usinipigie simu dont Be Calling on My Phone, Leave me Alone (achana na mimi ) #RESPECTTHEOGS @khaligraph_jones my G good vibe for my birthday 👊 Happy birthday to me Video inafaa kugonga 1.5m by now

450
4 weeks ago

Wanangu tutafuteni hela tu kwa kweli, Umaskini kitu kibaya sana hivi wewe fikiria yule mtu aliesema "Maskini akipata matako ulia bwata" Alikuwa anatafuta nini hasa kwenye Makalio ya maskini?

270
4 weeks ago

Mziki mzuri baada ya kazi raha sana @kingsmusicrecords @officialalikiba @ommydimpoz @officialabdukibaa

240
last month

Ata jua liwe kali vp kichwa cha chini hakivai kofia. @abdalla_254

400
May 2019

Nice weekend fam

560
May 2019

😂😂😂

660
May 2019

Kama sio ganji tembeza. @thekingkaka x @cassidy_larsiny moto sana

470
April 2019

Favourite song Link kwenye bio @bensoulmusic

330
April 2019

Mi mwenyewe sijiongeleshi, Sasa sijui mtaniambia Nini! Happy weed day

350
January 2019

Still recovering well

300
December 2018

@iwonaabdalla you see now?

330
December 2018

Kids 😍😍😍

280
December 2018

Waliyotumwa kunituliza, Wamekutwa wametulia😂😂😂 @thaboydave

270
December 2018

Kutoheshimu wakubwa hio ni akili ya bangi. Cc: @youngkillermsodokii @thaboydave

300
December 2018

Happy Jamhuri Day You All

230
December 2018

May every day of your life be blessed with rays of hope, joy, love, and sunshine. Happy Birthday, Brother! @pacquiaohassan

410
December 2018

Juu ya pressure anajipea kwa mabuda 🔥🔥🔥🔥🔥cc: @khaligraph_jones moto sana

210
November 2018

Siku zote kumbuka pesa sio kila kitu, ila pia inatakiwa uzitafute kwanza kabla hujaanza kusema huo ujinga... WEEKEND NJEMA KWENU

330
November 2018

Friday

310
November 2018

#Tbt #cars #tanzania 🇹🇿

370
November 2018

Brother, don't think too much about the past or where you are, because I believe you are destined to be great. On your birthday, I hope you reflect and understand that you are at a turning point in your life. Happy Birthday blood @abdalla_254 #seamanlife ⚓️

490
November 2018

Hakuna kitu kizuri kwa maisha kama haya maisha mwenyewe.

510
November 2018

Umri sio hoja ndio maana nilijiamini tangu mdogo sababu hata mlango mkubwa ulindwa na kufuli ndogo.

300
November 2018

Happy bornday bloody @sparrow_awiiti 4890

390
Load More ↓